Wednesday, June 5, 2013

IT'S J COLE VERSUS KANYE WEST

  j cole versus kanye west


Albums mbili kali zinatarajiwa kuwa released 0n 18th of this m0nth kutoka kwa mkali Kanye West itakayoitwa 'Yeezus' akiwa ametanguliza hit single ya 'New Slaves' na nyingine ni ya artist anayetambulika kama J. Cole (Jermaine Cole) itakayoitwa 'Born Sinner' akiwa ametanguliza single ya 'Crooked Smile'..

Stay TUNED for updates...!!!

No comments:

Post a Comment